APPLICATION FORMS AND GUIDELINES.


TAWFIQ SCHOOL LIMITED.
TAWFIQ KINDERGARETEN SCHOOL
(Day-care & and Nursery studies)
Call:0685123433/0716977912/0757696500
 Email:tawfiqkindergaten@gmail.com
FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE.
1.Tawfiq kindeegaten school ni shule inayotoa malezi na masomo katika mfumo wa Lugha ya kiingereza kwa wanafunzi kuanzia miaka miwili na kuendelea.
2.Shule hii inapatikana nchini Tanzania,mkoa wa Tanga wilaya ya Lushoto,kata ya Mlalo,kijiji cha Mlalo kitongoji cha mafogi njia ya kwenda mission.
3.Makao makuu ya shule hii yapo eneo la Ghanai—iango kijiji cha mhelo kata ya kwemshasha tarafa ya mlalo.
4.Shule inatoa huduma za malezi kwa watoto wadogo na wa chekechea pamoja na lengo la msingi-English medium pindi watakapovuka daraja la nursery wakute mfumo huo huo wa kuwaendeleza katika lugha ya kiingereza(ENGLISH MEDIUM)Masomo ya ziada yanapatikana kwa wanafunzi wanaosoma shule za jirani.Tawfiq school inapokea wanafunzi wa Imani yoyote ile ambayo inampendeza mwenyezi MUNGU hivyo shule yetu haibagui dini wala kabila.

MAHITAJI YA MWANAFUNZI ANAEHITAJI KUJIUNGA NA TAWFIQ KINDERGARTEN SCHOOL.

S/N
MAHITAJI
GHARAMA
MUDA WA KULIPIA
1.
FOMU YA MUONGOZO
10,000/=
KABLA YA KUANDIKISHWA MWANAFUNZI
2.
MAFAILI MAWILI YA PLASTIKI
4000/=
ANAPOANDIKISHWA
3.
GHARAMA ZA USAILI
1000/=
KABLA YA USAILI

JUMLA KUU
15,000/=


Baada ya kujaza fomu ya kujiunga na shule kama mwanafunzi amefaulu usaili na kuandikishwa,mzazi atatakiwa kufanya malipo ya ada na michango mingine iliyoainishwa kupitia benk kwenye akaunti namba ambayo mzazi atapewa ofisini au muamala wa simu kupitia TIGOPESA,MPESA,AU AIRTEL MONEY.Namba zote zinapatikana shuleni na sio vinginevyo.

ORODHA YA MICHANGO KWA KILA MWANAFUNZI ANAYEJIUNGA NA TAWFIQ KINDERGARTEN SCHOOL
S/N
AINA YA MCHANGO
GHARAMA
MUDA WA MALIPO
1
KITAMBULISHO CHA SHULE
5000/=
KWA MWANAFUNZI MPYA ANAYEANDIKISHWA/ALIYEPOTEZA

2
RIMU MOJA A4
10,000/
KILA JANUARI KWA WANAFUNZI WOTE
3
PESA YA UKAGUZI
5000/
KILA JANUARI YA MWAKA WA MASOMO

4
MAJENGO/UKARABATI
20,000/
JANUARY NA JULAI KWA MWAKA

5
DAWATI
25,000/
MARA MOJA TU ANAPOSAJILIWA


JUMLANDOGO
65,000/=






VIFAA VYA KUJIFUNZIA.
6
VIFAA VYA KUJIFUNZIA KWA VITENDO
10,000/=
KILA MWANZONI MWA MUHULA WA MASOMO
7
SARE ZA SHULE MVULANA
50,000/
ANAPOANZA SHULE PEA MBILI NA SWETA MOJA.
8
SARE ZA SHULE MSICHANA
70,000/=
ANAPOANZA SHULE PEA MBILI NA SWETA MOJA

JUMLA KUU
195,000


MALIPO YA ADA HUFANYIKA KWA AWAMU NNE.


AWAMU YA KWANZA
AWAMU YA PILI
AWAMU YA TATU
AWAMU YA NNE
JUMLA KUU
TAREHE/MWEZI

JAN,FEBR,NA MACH 2019

APRIL,MAY NA JUNE 2019,

JULY,AGOST,NA SEPT 2019
OCT,NOV NA DEC 2019


NAMBA
TAREHE1-7JANUARI 2019
1-APRIL 2019
1JULY 2019
1-OCT 2019
MIEZI 12
30K
1
90,000/=
90,000/=
90,000/=
90,000/=
360,000/=
40K
2
120,000/=
120,000/=
120,000/=
120,000/=
480,000/=
60K
3
180,000/=
180,000/=
180,000/=
180,000/=
720,000/
120K
4
360,000/=
360,000/=
360,000/=
360,000/
1,440,000/=
67500/=
5
202500/=
202500/=
202500
202500/=
810,000/=
134
6
400,000/=
400,000/=
400,000/=
400,000/
1,600,000/=

MCHANGANUO WA ADA YA   MWANAFUNZI ANAEISHIA SAA SITA NA DAKIKA AROBAINI MCHANA ANAELETWA NA KUFUATWA NA MZAZI WAKE SHULENI.

SIKU
WIKI
MWEZI
UJI NA VITAFUNWA
475/=
2375/=
9500/=
VIFAA VYA KITAALUMA
125/=
625/=
2500/=
UTAWALA
100/=
500/=
2000/=
MASOMO
750/=
3750
15,000/=
DHARURA
50/=
250/=
1000/=
JUMLA
1500/=
7500/=
30,000/=

MCHANGANUO WA ADA KWA MWANAFUNZI ANAESHINDA NDANI YA SHULE AKILETWA NA KUFUATWA NA MZAZI WAKE BAADA YA MASOMO KWISHA

SIKU
WIKI
MWEZI
UJI NA VITAFUNWA
600/=
3,000/=
12,000/=
VIFAA VYA KITAALUMA
250/=
1250/=
5000/=
UTAWALA
100/=
500/=
2000/=
MASOMO
1000/=
                5000/=
20,000/=
DHARURA
50/=
250/=
1000/=
JUMLA
1500/=
7500/=
30,000/=

MCHANGANUO WA ADA KWA MWANAFUNZI ANAESHINDA NDANI YA SHULE AKITUMIA GARI LA SHULE CHEKECHEA WANAOISHI MOA,MISSION NA MLALO.

SIKU
WIKI
MWEZI
UJI NA CHAKULA
1000/=
5000/=
20,000/=
MASOMO NA MALEZI
1000/=
5000/=
20,000/=
USAFIRI
1000/=
5000/=
20,000/=
JUMLA
5000/=
15,000/=
60,000/=

MCHANGANUO WA ADA KWA MWANAFUNZI  WA SHULE YA MSINGI ENGLISH MEDIUM ANAEISHI MOA-MISSION-NA MLALO USAFIRI KULA NA MASOMO.


SIKU
WIKI
MWEZI
TOLL
850/=
4250/=
17,000/=
NAULI KWENDA NA KURUDI
1000/=
5000/=
20,000/=
CHAKULA
750/=
3750/=
15,000/=
MASOMO NA ZANA ZA KUFUNDISHIA
750/=
3750/=
15,000/=
SHAJALA/STATIONARY
25/=
125/=
500/=
JUMLA KUU
3,375/=
16,875/=
67,500/=

MCHANGANUO WA ADA KWA MWANAFUNZI ANAEFUATWA NJE YA MLALO CHAKULA,MASOMO NA USAFIRI.

SIKU
WIKI
MWEZI
MWAKA
NAULI KUJA SHULENI NA KURUDISHWA
6000/=
30,000/=
120,000/
1,200,000/=
CHAKULA
1000/=
5000/=
20,000/=
200,000/=
MASOMO
1000/=
5000/=
20000/=
200,000/=
JUMLA
8000/=
40,000/=
160,000/=
1,600,000/=

MCHANGANUO WA GHARAMA ZA MWANAFUNZI WA BWENI.
A.
SIKU
WIKI
MWEZI
MWAKA
ASUBUHI
300/=
2100/=
8400/=
100800/=
SAA NNE
300/=
2100/=
8400/=
100800/=
MCHANA
700/=
4900/=
19600/=
235200/=
JIONI
1000/=
7000/=
28000/=
336000/=
JUMLA




2300/=
16,100
64400/=
772800/=
B.




MALAZI

90/=
630/=
2520/=
30240/=
MALEZI&USAFI
429/=
3003/=
12012/=
144144/=
SABUNU YA KUFULIA NA KUOGEA
107/=
749/=
2996/=
35952/=
MAFUTA YA KUPAKA NA KIWI
36/=
252/=
1008/=
12096/=
DAWA YA MENO NA SALUNI
36/=
252/=
1008/=
12096/=
MATIBABU
179/=
1253/=
5012/=
60144/=
ADA YA MASOMO
714/=
4998/=
19992/=
239904/=

MAHITAJI YA KITAALUMA NA ZANA ZA KITAALUMA
357/=
2499/=
9996/=
119952/=
TATHMINI
4248/=
29736/=
118944/=
1427328/=
JUMLA
4286/=
30002/=
120000/=
1440000/=

MAHITAJI YA WANAFUNZI WA BWENI.
1.malipo ya fomu ya kujiunga.
2.michango na ada ya mwanafunzi.
3.sare za shule.
4.sanduku na vifaa vyake,godoro,tranka yenye blanket,viatu pea mbili vya wazi,ndoo mbili,gum boots,dawa ya meno, miswaki miwili,mikebe miwili ya kiwi,kufuli, nguo za michezo mbili,truck suit,koti pea mbili na dodoki pamoja na ndoo ya kuogea.

BAHATI NSANJA MOHAMEDI.
MKURUGENZI WA SHULE


































TAWFIQ KINDERGARTEN SCHOOL
PO BOX 62 MLALO LUSHOTO-TANGA TANZANIA
Tel +255685123433/+255716977912/+255757696500 Email:tawfiqkindergaten@gmail.com
PAY TZS 10,000/= AS AN APPLICATION FEES ONCE APPLYING FOR THE TAWFIQ   SCHOOL.
APPLICATION FORM FOR ADMISSION   ACCADEMIC YEAR 2019 PERSONAL AND GENERAL INFORMATION:

 CONTACT INFORMATION:…………………………………………………………………………………

APPLYING FOR: …………………………………………………………………………………………………………………….

PUPIL’S FULL NAME: FIRST…………….…MIDDLE……......…….. LAST………….…………………

         DATE OF BIRTH………………………………………...........................................................................

PLACE OF BIRTH…………………………………………………………………………….......................

DD/MM/YYYY CITY/TOWN/COUNTRY....................................................................................................

 GENDER: MALE FEMALE....................................................................................................................... 

CITIZENSHIP…………………………………….TRIBE………………………………………….......... 

RELIGION………………………………………. PARENTS /GUARDIANS’ FULL NAMES: FATHER’S 

NAME……………………………………………………………………………………………………………OCCUPATION……………………………………………………………………………………………………..............

MOBILE................................................... ADDRESS………………….

 MOTHER’S NAME ………………………………………………………………………………………………………………………………
……………………………..

OCCUPATION……………………………………………………………………………………………………. MOBILE................................................... 

ADDRESS…………………………………………………………………………………………………………….

 CIRCLE ONE: CLASS; I    II    III      IV     V     VI      VII

PLEASE LIST SCHOOLS ATTENDED: NAME OF SCHOOL..........................................................................

YEAR OF ATTENDANCE CLASS COMPLETED MEDIUM OF INSTRUCTION …………………………………………….. …………………………………….. …………………………….. …………………………………………. …………………………………………….. ……………………………………..

 …………………………….. …………………………………………. TRANSFER CERTIFICATE AND ACADEMIC PROGRESS REPORT FROM YOUR CURRENT HEAD TEACHER IS NECESSARY.
ATTACH HERE 2 COLOURED PHOTOS : 

The school is set up in (4) four categories; The school has (3) three terms starting from January to December with holidays in between. REGULATIONS: PARENT/GUARDIAN’S SIGNATURE………………………………….
…………………….. DATE……………………………………… THE SCHOOL WILL  OPEN............ .................

APPLICATION FORMS SHOULD BE RETURNED 

BEFORE………………………………………………………………………………

LOCATION:     The school is located at LUSHOTO DISTRICT, AT MLALO WARD, about 36 KM from LUSHOTO.